Wanaosomea taaluma ya ualimu watiwa shime Mandera

  • | Citizen TV
    262 views

    Viongozi kutoka Kaunti ya Mandera wamewarai wanafunzi ambao wanafaidi kutokana na misaada ya basari kutia bidii kwenye masomo ili kutumia ujuzi wao kusaidia jamii