Mkutano wa baraza kuu la muungano wa Afrika unaendelea

  • | Citizen TV
    822 views

    Baraza kuu la umoja wa Afrika linafanya kikao cha 46 leo, kwenye makao makuu ya au, jijini Addis Ababa Ethiopia, siku tatu kabla ya uchaguzi wa mwenyekiti wa tume ya afrika kufanyika.