IPOA yakemea maafisa wa polisi kwa kudhulumu wananachi

  • | Citizen TV
    303 views

    Mamlaka ya IPOA imesema kuwa idadi ya kesi kati ya polisi na raia inasikitisha, kufuatia kupigwa risasi kwa vijana wanne huko Barwesa, Baringo Kaskazini