Wamefanya maandamano wakitaka malalamishi yao yasikizwe

  • | Citizen TV
    344 views

    Wahudumu wa afya walioajiriwa kwenye kandarasi ya afya kwa wote UHC katika kaunti ya Nyamira, wameshiriki maandamano ya mjini Nyamira kuirai serikali ya kaunti hiyo kuwapa kandarasi za kudumu