Mudavadi asema Raila atashinda kiti cha AUC

  • | Citizen TV
    11,764 views

    Mgombea wa kiti cha tume ya Afrika Raila Odinga anafanya kampeni za lala salama kabla ya uchaguzi huo kufanyika siku ya jumamosi jijini Addis Ababa Ethiopia