Rais Donald Trump anaweza kuwaondoa raia wa Gaza?

  • | BBC Swahili
    1,311 views
    Rais wa Marekani Donald Trump amekuwa akisisitiza mpango wake wa kuwapa makazi Wapalestina karibu milioni mbili katika nchi jirani ili kuutwaa na kuujenga upya Ukanda wa Gaza. Mamlaka ya Palestina na kundi la wapiganaji la Hamas walikariri kwamba ardhi ya Palestina "haiuzwi". Umoja wa Mataifa umeonya kwamba kulazimisha raia kuhama kutoka eneo linalokaliwa kimabavu haikubaliki chini ya sheria ya kimataifa. Lakini je Donald Trump atafanikiwa? Nani anaimiliki Gaza? Mariam Mjahid anaelezea #bbcswahili #marekani #gaza Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw