"Redio imenibadilishia sana maisha"

  • | BBC Swahili
    156 views
    Februari 13 kila mwaka ni siku ya Redio Duniani,ambapo maadhimisho haya hadi sasa yametimiza miaka 13 tangu kutangazwa rasmi na UNESCO mwaka 2011. Hawa hapa ni baadhi ya watangazaji @salim_kikeke @caro.robi1 @reginal_mziwanda wakiielezea namna walivyojikuta wakiingia katika utangazaji wa redio. #bbcswahili #tanzania #kenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw