Je, watangazaji maarufu wanasema nini kuhusu umuhimu wa redio

  • | BBC Swahili
    528 views
    Leo ni siku ya Redio Duniani. Kauli mbiu ya mwaka huu ni Redio na Mabadiliko ya Tabianchi: Chombo chenye Nguvu cha Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi. Katika kuadhimisha siku hii BBC Swahili imezungumza na waandishi wa habari @salim_kikeke @caro.robi1 na @regina_mziwanda wakielezea kuhusu umuhimu wa redio na jinsi wanavyoienzi taaluma yao. Yote haya na @roncliffeodit katika Dira ya Dunia TV kwenye ukurasa wa YouTube wa BBC Swahili. #bbcswahili #diratv #sikuyaredio Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw