Magavana wasitisha mchango kwa NSSF kufuatia utekelezaji wa sheria mpya

  • | NTV Video
    765 views

    Magavana wametangaza kusitisha mchango wao wa kila mwezi kwa hazina ya kitaifa ya malipo ya uzeeni NSSF kufuatia utekelezaji wa sheria hiyo iliyopitishwa mwaka wa 2013 kuanza mwezi huu.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya