Je umegundua kuwa shada la maua limepungua ukubwa mwaka huu?

  • | BBC Swahili
    907 views
    Nchini Kenya, mmoja wa wasafirishaji wakuu wa maua ulimwenguni, wauzaji maua wanapunguza ukubwa wa shada la maua ili bei iweze kuwa rafiki kwa wateja. Je hii imesababishwa na nini? Anne Okumu anaelezea 🎥: Nicholaus Mtenga #bbcswahili #kenya #valentineday Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw