Kwanini hutoshiriki uchaguzi huu muhimu Afrika?

  • | BBC Swahili
    1,031 views
    Uchaguzi muhimu zaidi barani Afrika unakaribia lakini wewe hutapiga kura! Mwenyekiti wa tume ya umoja wa Afrika ni nafasi muhimu inayogusa maisha ya mamilioni ya Waafrika, lakini ni viongozi wa nchi pekee wanaoamua. Kwa nini iwe hivyo? Anthony Irungu anaelezea. #bbcswahili #AU #AUC #Afrika Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw