Samaki wa ajabu aonekana kina cha juu baharini

  • | BBC Swahili
    2,366 views
    Tazama 'Samaki wa baharini' ambaye anaweza kuwa ni mara ya kwanza kunaswa kwenye kamera wakati wa mchana. Samaki huyu aina ya humpback anglerfish anaishi kati ya mita 200 na 2000 ndani ya bahari. Alinaswa na timu ya utafiti kutoka Condrik Research and Preserve wakiwa katika utafiti wa papa karibu na pwani ya Tenerife. #bbcswahili #utafiti #samaki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw