Mwili wa mwanaume wapatikana kwenye shamba la mahindi Murang'a

  • | KBC Video
    88 views

    Mwili wa mwanamume asiyejulikana umepatikana katika shamba la mahindi kando ya barabara ya Maragua-Murang’a katika Kaunti ya Murang’a. Wakazi wanaamini kuwa mwanamume huyo aliuawa katika eneo tofauti na mwili wake ukatupwa katika eneo la tukio. Wakaazi hao wanadai visa vya ukosefu wa usalama vimekithiri katika eneo hilo. Wanawalaumu polisi kwa kuzembea kazini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News