Rais Ruto aongoza mkutano wa tabia nchi jijini Addis Ababa

  • | KBC Video
    148 views

    Rais William Ruto ametoa changamoto kwa jumuiya ya kimataifa kuungana katika kukabiliana na janga la Hali ya Hewa huku akionya kwamba kuendelea kwa athari zake kunaleta tisho kubwa kwa binadamu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News