Mudavadi asema msimamo wa kidiplomisia wa Kenya uko dhabiti

  • | KBC Video
    77 views

    Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi amesema msimamo wa kidiplomasia wa Kenya bado uko thabiti licha ya kushindwa kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa tume ya muungano wa Afrika. Mudavadi amesema Kenya hatatizwa na madai kwamba mataifa yanayozungumza lugha ya kifaransa na kiingereza yaliisababishia Kenya kushindwa kwenye uchaguzi huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News