Tamasha la Sauti za Busara lafana Zanzibar

  • | BBC Swahili
    731 views
    Tamasha kubwa la muziki Afrika Mashariki na Kati limefanyika tena mwaka huu kwa mara ya 22. Wasanii kutoka kila pembe ya Afrika ikiwa ni pamoja na wenyeji Watanzania wamekosha shauku ya mashabiki wa muziki kutoka duniani kote. Baba Kash ni msanii wa Singeli yenye vionjo vya Mchiriku, ameieleza BBC namna Singeli ilivyo na uwezo wa kugusa mashabiki wa karibu kila mahadhi. ✍️: @sammyawami 🎥: @eagansalla_gifted_sounds #bbcswahili #tanzania #zanzibar Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw