Mambo 7 makuu aliyoyafanya rais wa marekani Donald Trump mwezi mmoja tangu aliporejea White House

  • | BBC Swahili
    2,817 views
    Hotuba za Rais wa Marekani Donald Trump, zimesheheni sera matamshi ya kisiasa Kidiplomasia Biashara na mustakabali wa taifa lenye nguvu zaidi duniani. - Je rais huyu wa 47 wa Marekani amefanya mambo gani muhimu ndani ya mwezi huu mmoja baada ya kurejea White House? - Mariam Mjahid anatathmini kauli 7 kuu alizotoa rais Trump ndani ya siku thelathini baada ya kurejea Washington. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw