Huenda shughuli za matibabu zikatatizika katika hospitali za umma nchini

  • | K24 Video
    16 views

    Huenda shughuli za matibabu zikatatizika katika hospitali za umma nchini endapo wizara ya afya itatekeleza pendekezo la kupunguza mishahara ya madaktari watarajali wapya kutoka shilingi 206,000 hadi shilingi 70,000. Hofu inaibuka wakati ambao sekta ya afya inakumbwa na changamoto tofauti zikiwemo za vitisho vya migomo ya makundi tofauti mbali na migomo inayoendelea.