‘Tumekaribia kufikia amani huko Ulaya’ – JD Vance, Makamu Rais wa Marekani

  • | VOA Swahili
    838 views
    Mkutano wa Hatua za Kisiasa wa Wa-Conservative 2025, CPAC, unafanyika katika hoteli ya Gaylord National Resort na Ukumbi wa Mikutano huko National Harbor, Oxon Hill, katika jimbo la Maryland. Makamu Rais wa Marekani JD Vance alifungua mkutano huo kwa matamshi yake siku ya Alhamisi. Mkutano ulianza Jumatano, Februari 19 na utaendelea hadi Jumamosi, Februari 22. -Reuters #cpac #news