Wakaazi wa Cheptulu wakadiria hasara baada ya nyumba zao kubomolewa kupisha ujenzi wa barabara

  • | Citizen TV
    1,008 views

    Wakaazi wa Cheptulu kaunti ya Vihiga wanakadiria hasara baada ya nyumba zao kubomolewa ili kupisha ujenzi wa barabara.