Wahudumu wa afya katika kaunti ya Busia waendelea na mgomo

  • | Citizen TV
    228 views

    Magavana Kutoka Eneo La Magharibi Wametakiwa Kuzungumza Kwa Sauti Moja Na Kushinikiza Serikali Ya Kitaifa Kuangazia Masaibu Ya Maafisa Hao Wa Afya. Haya Yanajiri Huku Mwenyekiti Wa Muungano Wa Wauguzi Katika Kaunti Ya Busia David Busolo Akisema Kuwa Mgomo Huo Umepelekea Vifo Vya Watoto Wanaozaliwa Pamoja Na Kina Mama Kwa Kukosa Huduma Kutokana Na Uhaba Wa Wauguzi Katika Vyumba Vya Kina Mama Kujifungua.