Homa ya Mapafu :Ugonjwa unaomsumbua Papa Francis

  • | BBC Swahili
    508 views
    Hali ya kiafya ya kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis imeibua wasiwasi miongoni mwa waumini wa Kanisa hilo na baadhi ya watu wengine ulimwenguni baada ya kuelezewa na Vatican kuwa ''si nzuri'' kutokana kuugua ugonjwa wa homa ya mapafu (pneumonia) katika mapafu yake yote mawili. - Papa Francis, mwenye umri wa miaka 88 amekuwa akipitia maambukizi ya mfumo wa upumuaji kwa zaidi ya wiki moja na amekuwa akipatiwa matibabu katika hospitali ya Gemelli huko Roma. Fahamu zaidi kuhusu tatizo la kiafya linalomsumbua? - - #bbcswahili #papá #Afya #vatcan #kanisakatoliki #mapafuSubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw