Kifo cha Chebukati: Maoni mseto yaghubika utendakazi wake

  • | KBC Video
    649 views

    Wakenya wangali wanatafakari kifo cha aliyekuwa mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka humu nchini IEBC Wafula Chebukati. Na huku baadhi wakimsifia kwa uongozi wake wakisema alidumisha uadilifu wa mfumo wa uchaguzi, baadhi wanaelezea kutoridhishwa na utendakazi wake. Haya hapa baadhi ya maoni yao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive