Kapu la Biashara: Ubia katika sekta ya maziwa wahimizwa

  • | KBC Video
    48 views

    Serikali itaidhinisha marekebisho ya sheria kuhusu halmashauri ya udhibiti wa vyama vya ushirika ya mwaka 2008 ili kufanikisha kubuniwa kwa hazina ya dhamana. Katibu katika wizara ya ushirika Patrick Kilemi amesema baraza la mawaziri linadhamiria kuidhinisha marekebisho hayo wakati wa kikao kijacho.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive