Uganda yaendelea kushinikizwa kumuachilia huru Besigye.

  • | BBC Swahili
    1,943 views
    Kiongozi wa upinzani anayezuiliwa Dkt. Kizza Besigye, amefunguliwa mashtaka ya uhaini kwenye mahakama ya kiraia. Ikiwa atapatikana na hatia, huenda akahukumiwa kifo. Mwanasiasa huyo anatuhumiwa kupanga njama ya kupindua serikali pamoja na mshirika wake wa muda mrefu, Obeid Lutale ambaye pia ameshtakiwa kwa uhaini.