Rais Ruto awajibu wanaomkosoa kuhusiana na miradi ya ujenzi wa barabara

  • | K24 Video
    158 views

    Rais William Ruto amewajibu wanaomkosoa kuhusiana na miradi ya ujenzi wa barabara na hatua ya kuondoa masharti ya kuwafanyia tathmini piga wanaotafuta vitambulisho katika maeneo ya kaskazini mashariki, akiongea hii leo katika kaunti ya kilifi alikohudhuria mazishi ya babake spika wa bunge la seneti Amason Kingi, rais amesema hatabadili maamuzi yake wala kuomba msamaha wakosoaji wake