Wanafunzi warusha kinyesi kupinga bajeti

  • | BBC Swahili
    267 views
    Maelfu ya wanafunzi wameingia mitaani kote Indonesia kupinga kupunguzwa kwa bajeti, ikiwemo sekta ya elimu na afya. Huko Semarang, mji mkuu wa Kati wa Java, wanafunzi walirusha kinyesi cha ng’ombe kwenye jengo la serikali. - Ofisi ya Rais Prabowo Subianto imesema mabadiliko ya ufadhili hayataathiri sekta ya elimu, lakini wanafunzi sasa wamewataka wananchi kujiunga nao mitaani. - - #bbcswahili #elimu #wanafunzi #ngombe Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw