Chama cha Hazina chaandaa mkutano wa wajumbe

  • | KBC Video
    32 views

    Usimamizi mbaya wa fedha umetajwa kuwa changamoto kubwa inayokabili vyama vya ushirika vya akiba na mikopo nchini. Akizungumza wakati wa mkutano wa 41 wa wajumbe wa kila mwaka wa chama cha ushirika cha Hazina jijini Nairobi, kamishna wa vyama vya ushirika David Obonyo, amesema serikali inahimiza mageuzi ya sera na kuimarisha usimamizi wa vyama vya ushirika. Chama cha ushirika cha Hazina kimetangaza mgao wa faida wa asilimia 17 kwenye mtaji wa hisa na riba ya asilimia 10.85 kwa amana katika mwaka wa 2024.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive