Dira Ya Kaunti: Bangi ya thamani ya Sh. Milioni 15, chang’aa vyanaswa Murang’a kusini

  • | KBC Video
    64 views

    Chama cha walimu wa kuwahudumia wanafunzi wenye mahitaji maalum nchini kimeungana na taasisi nyingine zinazoshinikiza kuvunjwa kwa halmashauri ya afya ya jamii (SHA),kikiibua madai kwamba wengi wa wanachama wake wamekosa kupata huduma bora za matibabu kutokana na changamoto za kifedha zinazokabili halmashauri hiyo . Taarifa kwa kina ni katika mkusanyiko wa dira ya kaunti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive