"Hatutapumzika mpaka pale mateka wote hao wamerejeshwa nyumbani"

  • | VOA Swahili
    39 views
    Rais Donald Trump amesema katika mkutano wa CPAC 2025, “Pamoja nasi ziko familia za baadhi ya watu ambao bado wanashikiliwa mateka. Hatutapumzika mpaka mateka wote wamerejeshwa nyumbani.” Mkutano wa Hatua za Kisiasa wa Wa-Conservative 2025, CPAC, unaandaliwa kila mwaka na moja ya taasisi kongwe za kisiasa nchini Marekani, American Conservative Union, wakiwa na mamlaka ya kuwaleta pamoja viongozi kwa mawasiliano. #trump #cpac #border #voa