'Tulitangaza dharura ya kitaifa katika mpaka wetu wa kusini'

  • | VOA Swahili
    261 views
    Rais Donald Trump ahutubia mkutano wa CPAC 2025, “Siku ya kwanza madarakani, tulitangaza dharura ya kitaifa kwenye mpaka wetu wa kusini baada ya miaka kadhaa ya wanasiasa kulitumia jeshi letu kulinda mipaka ya nchi za kigeni wakati wakiiacha nchi yetu bila ya ulinzi, bila ya msaada.”. Mkutano wa Hatua za Kisiasa wa Wa-Conservative 2025, CPAC, unaandaliwa kila mwaka na moja ya taasisi kongwe za kisiasa nchini Marekani, American Conservative Union wakiwa na mamlaka ya kuwaleta pamoja viongozi kwa mawasiliano. #trump #cpac #border #voa