Kizaazaa kimeshuhudiwa nje ya makao makuu ya Kenya power

  • | Citizen TV
    3,878 views

    Kizaazaa kimeshuhudiwa nje ya makao makuu ya kampuni ya Kenya Power baada ya maafisa wa Kaunti kudaiwa kufunga mabomba ya maji taka eneo hilo na kusababisha uchafu huo kuzagaa nje ya ofisi za Kenya power