Ulaghai sekta ya nyumba : Mawakala watapeli waongezeka

  • | KBC Video
    17 views

    Serikali imehimizwa kukaza kamba kuhusu kanuni za ujenzi ili kuwanasa wastawishaji watapeli ambao wamewawalaghai mamilioni yapesa wateja wasio na ufahamu RUN VCR;;; Akiongea katika mtaa wa Membley, kaunti ndogo ya Ruiru, Afisa mkuu mtendaji wa kampuni ya Naivera Incorporated, Charles Nyandia, alisisitiza haja ya kuimarisha uangalizi ili kuwalinda wateja dhidi ya walaghai. Wakenya pia wametahadharishwa kuwa macho dhidi ya matapeli wanaodai kuwauzia ardhi au nyumba bandia. Ombi hilo linajiri kufuatia ongezeko la wasiwasi kuhusu uwazi na uwajibikaji katika sekta ya nyumba.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive