Wanaharakati washiriki maandamano kushinikiza serikali ya Uganda kumuachilia Kizza Besigye

  • | K24 Video
    317 views

    Wanaharakati wa kupigania haki za kibinadamu wakiongozwa na shirika la Amnesty na chama cha mawakili nchini, LSK, hii leo wameshiriki maandamano kushinikiza serikali ya Uganda kumuachilia huru mwanasiasa wa upinzani Kizza Besigye. Wanaharakati hao waliwasilisha maombi kwa bunge la taifa jijini Nairobi ila walifurushwa nje ya ubalozi wa Uganda. Wanaharakati hao wameisuta serikali ya uganda kwa kuendelea kumzuilia Besigye huku akizidi kudhoofika kiafya.