Karua: Ruto alimkosesha Raila kiti cha AUC kwasababu ana sifa mbaya katika Bara la Afrika

  • | TV 47
    310 views

    "Raila alikuwa na msaada mkubwa, lakini aliyempeleka, Rais Ruto ana sifa mbaya katika Bara la Afrika, jambo lililosababisha Raila kupoteza kiti cha AUC. Ruto kujihusisha na vita vya nchi zingine kama Sudan, Israel, na DRC Congo, pamoja na kwenda kinyume na matakwa ya Bara la Afrika, kumekuwa na athari kubwa." -Martha Karua, People’s Liberation Party @MarthaKarua

    #MorningCafeTV47 #HapaNdipo

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __