KNCCI kushirikiana na chuo kikuu cha Maasai Mara

  • | Citizen TV
    36 views

    Wanafunzi wa chou kikuu cha Maasai Mara sasa watapata fursa ya kupata mafunzo na ujuzi kuhusu biashara baada ya kutia saini baina ya chuo hicho na taasisi ya Kitaifa ya Biashara na viwanda, KNCCI