Wahudumu wa UHC waandamana Kaunti ya Nakuru

  • | Citizen TV
    300 views

    Wahudumu wa afya kwa wote - UHC, Kaunti ya Nakuru wanaandamana ili kuishinkiza serikali kuwaajiri na kuwapa kandarasi ya kudumu