Huduma katika hospitali Baringo zimekwama

  • | Citizen TV
    121 views

    Huduma katika hospitali za level 4 na level 3 katika Kaunti ya Baringo zimesitishwa baada ya maafisa wa kliniki na afya ya umma kususia kazi wakilalamikia kutopandishwa vyeo na upungufu wa wafanyakazi