Kazi ni kazi : Msanifu taa

  • | KBC Video
    2 views

    Linet Nkatha mwenye umri wa makamo alihitimu kutoka chuo Kikuu alikosomea kozi ya habari, teknolojia na mawasiliano. Baada ya kukosa kupata ajira, Nkatha aliamua kufanya kazi ya usanifu wa taa za magari. Yeye hutumia ujuzi aliopata kuunda taa za aina ya kipekee ambazo zimempa umaarufu na kumsaidia kukidhi mahitaji yake. Safari yake ni ushahidi ustahimilivu na ubunifu katika kukabiliana na changamoto za ukosefu wa ajira. Fredrick Muoki anamuangazia mwanamke huyu shupavu katika makala yetu ya Kazi ni Kazi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive