Kilimo cha ngano : Wakulima waandamana maeneo mbalimbali ya nchi

  • | KBC Video
    6 views

    Wakulima wa ngano kutoka maeneo mbalimbali humu nchini waliandamana kulalamikia kile walichokitaja kuwa kiasi kikubwa cha ngano inayoagizwa kutoka nje. Wakulima hao wamesema kuwa wamekosa soko la ngano na hivyo kulazimika kuuza zao hilo kwa bei duni. Wanaitaka serikali kudhibiti uagizaji wa ngano kutoka nje ili kuhakikisha wana soko la kuuza ngano yao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive