Mbunge wa Naivasha amtetea Jaji mkuu

  • | Citizen TV
    286 views

    Mbunge wa Naivasha Jane Kihara amemtetea Jaji mkuu Martha Koome dhidi ya mchakato wa kutaka kumwondoa mamlakani akisem akuwa njama hiyo ni ya kisiasa