- 82 viewsMauaji ya waandishi wa habari yamechangiwa na ongezeko la vita na uasi katika nchi nyingi. Kutoka Ukraine, Mashariki ya kati kunakoendelea vita, hadi mataifa yanayotawaliwa kimabavu, mataifa yanayokabiliwa na uasi, ugaidi au vita vya wenyewe kwa wenyewe, wanahabari wanaendelea hukabiliwa na hatari ya kuangamizwa katika hali yao ya kazi. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Idadi ya wanahabari wanaofariki au kujeruhiwa wakiwa kazini imeongezeka duniani
- - Duniani Leo ››
- » KCB racing team drivers leave nothing to chance as they enter the final stretch of preparations Safari rally26 Feb 2025 - Kenya’s KCB racing team drivers, Nikhil Sachania and Karan Patel, have ramped up preparations for the highly anticipated World Rally Championship (WRC) Safari Rally, set to roar into action in Naivasha from March 20 to 23. The duo spent the past weekend…
- 26 Feb 2025 - A young American woman has been taken into police custody after her newborn baby was thrown out of a window of a Parisian hotel, the Paris prosecutor's office said on Tuesday.
- 26 Feb 2025 - Former Migori Governor Okoth Obado is set to defend himself in April after the High Court ruled that he has a case to answer in the murder of Rongo University student Sharon Otieno.
- 26 Feb 2025 - Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi has urged the world to confront the enduring legacies of colonialism, address its contemporary manifestations, and build a more just society.
- 26 Feb 2025 - As Rwanda-backed rebels closed in on eastern Congo's largest city, retreating army soldiers barged into Suzanne Amisi Wilonja's home near the airport to loot, firing indiscriminately and shooting her 10-year-old son Sylvain in the head.
- 26 Feb 2025 - The government has increased revenue collection through the digitisation of services, Broadcasting and Telecommunications Principal Secretary Prof. Edward Kisiang’ani has said.
- 26 Feb 2025 - Kenya Amateur Wrestling Association (KAWA) has reaffirmed its commitment to the 2026 Youth Olympic Games in Dakar, announcing that scouts and coaches are currently nurturing 20 identified youngsters who will embark on qualifier tournaments starting this…
- 26 Feb 2025 - The government has reaffirmed its commitment to providing free primary healthcare services in all public health facilities nationwide and clearing outstanding claims under the now-defunct National Health Insurance Fund (NHIF).
- 26 Feb 2025 - The Social Health Authority (SHA) has assured Kenyans that registered members can access free primary healthcare services at government facilities without restrictions. The post Gov’t reaffirms commitment to free primary healthcare, payment of valid…
- 26 Feb 2025 - Police have identified Peter Oketch, alias DJ I0, as the alleged mastermind behind the murder of Molo activist Richard Raymond Omollo, popularly known as Molo President.