- 390 viewsRais Donald Trump anasema anakaribia kufikia makubaliano na Ukraine na Russia kumaliza vita nchini Ukraine, baada ya siku ya mikutano kadhaa huko White House na kiongozi wa Ufaransa, Emmanuel Macron. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Rais Trump asema anakaribia kufikia makubaliano ya kumaliza vita vya Ukraine
- - Duniani Leo ››
- - Duniani Leo ››
- 26 Feb 2025 - The vehicle was one of three double-decker buses carrying local government officials on a field trip when it veered off the road in Prachin Buri province, east of the capital Bangkok.
- 26 Feb 2025 - Botswana authorities say at least nine people were confirmed dead Monday, as rare flooding hit the semi-arid country. More than 5,000 people have been affected by the floods as record rainfall fell over the last week.
- 26 Feb 2025 - Israeli opposition leader Yair Lapid said Tuesday that Egypt should run the Gaza Strip for at least eight years once the war is over, in exchange for massive debt relief.
- 26 Feb 2025 - For centuries, one of the biggest taboos at the Vatican was openly discussing the pope's health. As leader of the world's 1.4 billion Catholics, the pope is a revered spiritual figure. Talking about his earthly health was profane.
- 26 Feb 2025 - Libyan authorities announced Tuesday an arrest warrant for a man accused of the attempted assassination of a minister earlier this month, saying the suspect had fled to neighbouring Tunisia.
- 26 Feb 2025 - The Sh1.4 billion last mile connectivity project in Kwale County will provide electricity to over 12,700 households.
- 26 Feb 2025 - Kenya Pipeline volleyball team were flagged off yesterday ahead of their title defence at the third edition of the CAVB Africa Zone V Club Championships in Kampala, Uganda. The tournament, set to run from today through next week on Tuesday, will take…
- 26 Feb 2025 - The announcement comes days after a High Court in Narok stopped proceedings against the seven judges.
- 26 Feb 2025 - Lawmakers now want Nairobi Governor Johnson Sakaja and Nairobi City County officials who authorised the dumping of garbage at the entrance of Kenya Power offices following their current financial feud to be arrested. Some of the MPs went to as far as…
- 26 Feb 2025 - Africa is likely to experience a surge in malaria cases due to climate change and the emergence of new mosquito species that bite during the day, health experts have warned. Speaking in Bagamoyo, Tanzania, during a meeting organised by the Ifakara…