Mzozo baina ya kampuni ya kusambaza umeme na serikali ya kaunti ya Nairobi

  • | K24 Video
    28 views

    Mamia ya wafanyabiashara wanaendelea kutatizika kufuatia mzozo baina ya kampuni ya kusambaza umeme na serikali ya kaunti ya Nairobi, baada ya maafisa wa kaunti ya Nairobi kumwaga taka nje ya jumba la Stima Plaza. Kufuatia kisa hicho, mamlaka ya usimamizi wa mazingira, nema, sasa imetoa agizo kwa serikali ya kaunti kuondoa malori ya taka yaliyoegeshwa maeneo hayo ikisema kuwa yanahatarisha afya na mazingira ya wakazi wa eneo hilo.