Trump, Macron waahidi kulishughulikia Suala la Ukraine kwa pamoja
Rais wa Marekani Donald Trump alikutana na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron Jumatatu katika Ofisi ya Oval huko White House mjini Washington, DC, ambapo wanatafuta suluhu ya mivutano kati ya Ulaya, Amerika Kaskazini na Uingereza kuhusu suala la Ukraine.
Katika maadhimisho ya mwaka wa tatu wa uvamizi wa Russia, Trump alisema anatarajia Volodymyr Zelenskyy kuja wiki hii au ijayo, kusaini makubaliano ya kuipatia Washington ruhusa ya kuchukua madini ya Kyiv. (AFP).
#trump #macron #ukraine #voa
2 Apr 2025
- A video of Samuel da Silva dos Santos holding the baby girl found in a box on a street strewn with trash went viral on social media, sparking a mixture of joy and indignation in the Brazilian seaside city.
2 Apr 2025
- Health officials and police have scrambled to explain the mix-up, which has appalled political leaders and stoked outrage across the country.