Wafugaji Narok wapewa ahadi ya kuimarika kwa bei ya ngozi.

  • | Citizen TV
    49 views

    Naibu Mkuu wa wafanyikazi katika serikali ya kitaifa, Eliud Owalo ametangaza kuwa serikali itafanya kila iwezalo kuhakikisha bei ya Ngozi kutoka nchini Kenya imeimarika ili kufaidi wafugaji hasa kutoka Kaunti ya Narok