Gavana Nathif aonya wanaolenga kunyakua ardhi ya shule.

  • | Citizen TV
    104 views

    Gavana wa Garissa Nathif Jama ameonya vikali watu wanaotaka kunyakua kipande cha ardhi kinachopakana na shule ya msingi ya Garissa