Spika wa bunge la Kaunti ajiuzulu kabla ya kura kuandaliwa

  • | Citizen TV
    491 views

    Spika wa Bunge la Kaunti ya Turkana Christopher Nakuleu amejiuzulu. Nakuleu amejiuzulu siku mbili kabla wawakilishi wadi wa bunge hilo kupiga kura ya kumwondoa afisini