Wakaazi wengi wapewa matibabu ya bure ya macho Nakuru.

  • | Citizen TV
    100 views

    Wakaazi zaidi ya elfu mbili walio na matatizo ya macho kutoka eneo bunge la Bahati katika Kaunti ya Nakuru, wamenufaika kwa matibabu ya macho kutoka shirika la Rotary kwa ushirikiano na afisi ya mbunge wa eneo hilo Iren Njoki