- 377 viewsMkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Amimza Cafe iliyoko Mkoa wa Kagera, Amiri Hamza, amesema kuwa bila maboresho ya sera, taifa litaendelea kushindwa kuongeza thamani ya mazao ya kilimo. Amesema hayo katika mkutano wa tatu uliowakutanishi viongozi wa nchi 25 wanaozalisha zao hilo barani Afrika kuanzia tarehe 21-22, Februari, katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere mjini Dar es Salaam, Tanzania. Mkutano huu umeandaliwa na serikali ya Tanzania. Hamza amehimiza serikali na wadau kushirikiana kurekebisha sheria ili kuwapa vijana fursa zaidi kwenye sekta ya kahawa. “kufikia 2030 vijana wataweza kunufaika na zao la kahawa kwa ajira na mengineyo Kama tukibadilisha kanuni na sheria za mfumo wa fedha nchini, tusipo badili tutaendelea kuangaika na kulalamika kuhusu kuongeza thamani ya mazao yetu ya kilimo,” amesema Hamza Ili kuhakikisha sekta ya kahawa inachangia ipasavyo katika uchumi wa Afrika viongozi wa nchi 25 wameazimia kuhamasisha matumizi ya kahawa ndani ya bara na kuongeza ushirikiano kati ya sekta ya umma na binafsi. Pia wamependekeza kuanzishwa kwa vituo vya umahiri na utafiti wa kahawa. Ripoti ya Amri Ramadhani, VOA, Tanzania. #tanzania #kahawa #amimzacafe #amirihamza #sera #serikali #voa #voaswahili #ushindani
Mdau aishauri serikali namna ya kuongeza thamani mazao ya kilimo
- - Duniani Leo ››
- 2 Apr 2025 - Health officials and police have scrambled to explain the mix-up, which has appalled political leaders and stoked outrage across the country.
- 2 Apr 2025 - South Sudanese government denies Odinga's claims that First Vice President Riek Machar's wife was also under house arrest.
- 2 Apr 2025 - A private developer obtained the land’s title deed in February.
- 2 Apr 2025 - Kenya-Sudan trade row deepens as Khartoum denies tea exports
- 2 Apr 2025 - South Sudan is on the verge of war. Uganda stepped in to help by deploying its troops in Juba on realising that escalating conflict could destabilise the world’s youngest nation. The United Nations Mission in South Sudan has warned that the country…
- 2 Apr 2025 - A women-only outfit can thrive if it balances legal requirements with advocacy for women’s rights.
- 2 Apr 2025 - Tuju once said that then-DP William Ruto was paid billions of shillings for being Uhuru Kenyatta's running mate in 2013.
- 2 Apr 2025 - Seven family members perished in a crash at High Peak, near Naivasha town.
- 2 Apr 2025 - Scammed and trapped in Myanmar's dirty digital camps, the daring escape
- 2 Apr 2025 - State edges KPC out of cooking gas plant deal for Nigerian firm